Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Zverev vs Tsitsipas Nusu Fainali ya Monte Carlo Master

Tennis.png Zverev vs Tsitsipas Nusu Fainali ya Monte Carlo Master

Sun, 17 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mcheza Tenisi wa Ujerumani, Alexander Zverev alinusurika kipigo cha seti ya kwanza dhidi ya Jannik Sinner kabla ya kupambana na kutinga nusu fainali ya Monte Carlo Masters kwa ushindi mkubwa wa 5-7 6-3 7-6 siku ya Ijumaa.

Sinner alishinda seti ya kwanza, kabla ya Zverev kulipiza kisasi katika seti ya pili. Na baadae kushinda seti ya tau kwa 7-5 mpaka mwisho wa mchezo.

Zverev anayeshika nafasi ya pili sasa atakutana na bingwa mtetezi Stefanos Tsitsipas katika nusu fainali siku ya Jumamosi baada ya Mgiriki huyo aliye katika nafasi ya tano kumshinda Diego Schwartzman 6-2, 6-7, 6-4.

Tsitsipas alishinda seti ya kwanza, lakini akapoteza kwa 5-2 katika seti ya pili. Zverev alipigwa marufuku ya wiki nane kutojihusisha na michezo iliyoidhinishwa na ATP mwezi uliopita baada ya kutupwa nje ya Acapulco Open kwa kugonga kiti cha mwamuzi mara kwa mara na raketi yake mwishoni mwa mechi ya wachezaji wawili wawili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live