Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Serena William kustaafu kwenye michuano ya US Open

Skysports Serena Williams Tennis 5860955 Serena William

Mon, 29 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serena (40) anatarajia kutoa ujumbe wa kuaga mashabiki wake na mashabiki wa mchezo wa Tenis.

Mshindi huyo mara 23 wa michuano mikubwa ya tenis huenda ndo ikawa mara ya mwisho kuonekana katika michuano hiyo mikubwa.

Katika mchezo wake wa mwisho Williams alichapwa 6-4, 6-0 na Muingereza Emma Raducanu ambaye mwenyewe alitolewa nje ya Australian Open na Kovinic mnamo Januari.

Siku ya Jumamosi, waandaaji wa michuano hiyo walithibitisha kwamba yeye na dada yake mkubwa Venus Williams walikuwa wamepewa kadi ya pori katika mashindano ya wanawake wawili wawili, ambayo yataanza Jumatano.

“Nadhani yeye ndiye kitu kikubwa zaidi kitakachowahi kuwa kwenye mchezo huu,” Naomi Osaka wa Japan alisema Jumamosi.

Serena amecheza kwa mafanikio Zaidi mchezo huo hivyo anatarjiwa kuacha alama itakayokumbukwa na wapenda mchezo huo wa Tenis.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live