Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Naomi atangaza kuwa mjamzito

Naomi Osaka Mk.jpeg Naomi Osaka

Thu, 12 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkali wa Tennis kwa Wanawake na mshindi mara nne wa Grand Slam, Naomi Osaka ametangaza kuwa ni mjamzito na atarejea tena uwanjani kwa ajili ya michuano ya wazi ya Australia 2024.

Mkali wa Tennis kwa Wanawake na mshindi mara nne wa Grand Slam, Naomi Osaka ametangaza kuwa ni mjamzito na atarejea tena uwanjani kwa ajili ya michuano ya wazi ya Australia 2024. “Kitu kimoja nachokisubiria ni kwa mwanangu kutazama moja ya mechi zangu na kumwambia mtu mwingine ‘yule ni mama yangu’” amesema Naomi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live