Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Murray & Raducanu watupwa nje michuano ya Australian Open

Murray Murray & Raducanu watupwa nje michuano ya Australian Open

Thu, 20 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashindano ya wazi ya Australia (Australian Open) yanayoendelea yazidi kuwa magumu kwa mastaa baada ya Andy Murray na Emma Raducanu kutolewa.

Andy Murray ametolewa na Mjapani Taro Daniel anaeshika nafasi ya 120 kwenye viwango vya wachezaji wa tenisi duniani kwa seti 3-0 za 6-4,6-4,6-4.

Huku mshindi wa US Open, Emma Raducanu ametolewa na Danka Kovinić kutoka Moldova kwa seti 2-1 za 6-4,4-6 na 6-3.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live