Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Medvedev afuzu 16 Bora Australian Open

TENNIS AUSOPEN 24 1642683877502 1642683886040 (600 X 338) Daniil Medvedev

Sat, 22 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji namba 2 kwa ubora duniani (wanaume), Daniil Medvedev, amefuzu hatua ya 16 bora kunako mashindano ya Australian Open.

Medvedev alikua uwanjani akichuana na Botic van de Zandschulp katika uwanja wa Margaret Court Arena. Daniil anaingia kwenye mashindano haya akiwa na kumbukumbu ya kucheza fainali mwaka jana na pia, ni bingwa mtetezi wa US Open mwaka huu.

Ushindi wa seti 6-4 6-4 6-2, unamvusha Daniil kwenye hatua ya 4 na sasa, atachuana na mshindi kati ya Christopher O’Connell au Maxime Cressy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live