Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Djokovic Kumaliza Wikiendi Akifungiwa Hotelini

Novak Djokovic Novak Djokovic

Thu, 6 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji namba moja duniani wa tennis Novak Djokovic atatumia wikiendi yote akiwa amefungiwa katika hotel jijini Melbourne huku mwanasheria wake akiwa anashughulikia kurudisha visa ambayo serikali ya Austaria iliyofutwa.

Djokovic jana Jumatano alisubirishwa kwa masaa kadhaa kwenye uwanja wa ndege wa Melbourne baada ya maafisa wa uhamiaji kuwa na matatizo na Visa yake, huku maafisa wakidai kuwa hakuweza kuwasilisha ushahidi kuhusu matakwa ya Visa.

Mshindi huyo mara tisa alisafiri kwenda Australia baada ya kupata Visa maalum, ambayo haikumpasa kuweza kupata chanjo kutoka kwa waandaji wamichuano ya Australia Open pia mamlaka katika jimbo la Victoria ambalo liko jijini Melbourne.

Djokovic alikuwa anatarajia kupata kibali maalum ambacho kingetolewa na serikali ya australia ambacho kingemruhusu kushiriki michuano hiyo, Djokovic anajianda kwenda kushindana kupata taji la 21 Grand Slam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live