Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Bingwa French Open kubeba Bilioni 6

Sdfgg Bingwa French Open kubeba Bilioni 6

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kila mcheza tennis anandoto ya kushinda taji la French Open kwa sababu hata ‘mzigo’ unaotolewa kwa mshindi wa mashindano hayo sio wa kitoto!

Unataka kufahamu ni kiasi gani cha pesa washindi watajinyakulia kwenye French Open 2024?

Mwaka huu kwenye French Open mzigo wa pesa umeongezwa kwa 7.82% kutoka ule wa mwaka 2023!

Kwa pamoja [wanaume na wanawake] mshindi mmoja mmoja atachukua mzigo kama ifuatavyo:

Bingwa: £2m——>Tsh. 6.6b

Mshindi wa pili: £1m——>Tsh. 3.3b

Nusu Fainali: £557k——>Tsh. 1.8b

Robo Fainali: £356k——>Tsh. 1.1b

Roundi ya 4: £214——>Tsh. 710m

Raundi ya 3: £135——>Tsh. 448m

Raundi ya 2: £94k——>Tsh. 312m

Raundi ya 1: £62k——>Tsh. 205m

Chanzo: www.tanzaniaweb.live