Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Ben Shelton balaa jipya ulimwengu wa Tennis

Ben Shelton 090623 Getty Ftr Ben Shelton

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukiachana na jina la Carlos Alcaraz ambaye yupo kwenye top two ya tennis duniani baada ya Novak Djokovic, huyu dogo wa kimarekani Ben Shelton ni balaa lingine.

Umri wa miaka 20 na anakwenda kucheza nusu fainali ya US Open na bingwa wa US Open mwaka 2018, Novak Djokovic.

Mwaka huu aliishia kwenye robo fainali ya Australian Open dhidi ya Tommy Paul, kuingia nusu fainali ya US Open ni jambo kubwa sana kwake.

Chukua time, muangalie hutakosa la kusema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live