Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Tennis

Australian Open: Naomi Osaka avuliwa Ubingwa

Naomi Osaka Out Naomi Osaka

Fri, 21 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bingwa mtetezi wa Australian Open (wanawake), Naomi Osaka, amevuliwa rasmi ubingwa baada ya kupoteza mchezo wa hatua ya tatu ya mashindano ya mwaka huu.

Osaka alikuwa uwanjani kuchuana na chipukizi, Amanda Anisimova katika mchezo wa mzunguko wa tatu.

Anisimova aliingia uwanjani akiwa amepoteza michezo 9 dhidi ya wachezaji waliopo kwenye nafasi 20 bora. Osaka kwa upande wake, alikua ameshinda michezo 24.

Osaka amevuliwa rasmi ubingwa wa Australian Open kwa kupoteza mchezo kwa seti 4-6 6-3 7-6 (10-5) na sasa, Anisimova atachuana na Ashleigh Barty katika mchezo wa hatua ya 16 bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live