Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Skudu Makubela aaga Yanga, atoa neno hili..!

Skudu 11 Winga Skudu Makudubela raia wa Afrika Kusini

Mon, 26 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga Skudu Makudubela raia wa Afrika Kusini ameiaga rasmi Klabu ya Yanga hali inayoashiria kuwa hatokuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu huu wa 2024/25.

Winga Skudu Makudubela raia wa Afrika Kusini ameiaga rasmi Klabu ya Yanga hali inayoashiria kuwa hatokuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu huu wa 2024/25. Kupitia waraka wake kwa klabu hiyo, Skudu ametoa shukrani zake kwa Familia nzima ya klabu ya Yanga kwa upendo na usaidizi ulioonyeshwa kwake wakati wote alipokuwa klabuni hapo huku akibainisha kuwa ni heshima adhimu kuiwakilisha Taasisi bora kama Young Africans Sc.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: