Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah aifukuzia Rekodi ya Ronney EPL

Salah X Rooney Salah aifukuzia Rekodi ya Ronney EPL

Mon, 21 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri Mohamed Salah anakaribia kuikutia rekodi iliyowahi kuwekwa na aliyewahi kuwa nyota wa Manchester United Wayne Rooney ya kufunga na kutoa pasi za mwisho za magoli katika michezo 36 ya Ligi Kuu Nchini Uingereza.

Siku ya jana mchezaji huyo alifunga goli 1 dhidi ya Chelsea kwenye ligi hiyo na kumfanya kufikisha michezo 34 aliyofunga na kutoa pasi za mwisho za magoli (Assists) huku akibakiza magoli mawili au ‘assists’ mbili pekee kuifikia rekodi ya Rooney.

Liverpool imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea alioupata siku ya jana katika dimba la Anfield na kufikisha pointi 21 kwenye mechi 8 za Ligi Kuu England.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live