Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mudathir alivyoimaliza Simba SC Dabi ya Kariakoo

Mudathir Yahya Abbas Middle Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya

Mon, 21 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juzi kwenye Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Mapacha wa Kariakoo Simba dhidi ya Yanga, kuna mtu pale katikati alikuwa anaitwa Mudathir Yahya kutoka Yanga.

Juzi kwenye Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Mapacha wa Kariakoo Simba dhidi ya Yanga, kuna mtu pale katikati alikuwa anaitwa Mudathir Yahya kutoka Yanga. Timu ikiwa na mpira Movement za Mudathir zilikuwa imara lakini uwezo wake wa Ku-drop kwenye nafasi yake kwa haraka defensively dhidi ya viungo wa Simba hasa baada ya kupata bao ulikuwa ni wa hali ya juu akaiua Rhythm yoyote ambayo Simba walijaribu kuitafuta kurudi mchezoni kwenye dakika kadhaa za mapema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live