Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Messi afunga Hatrick ya 1o Timu ya Taifa, afikisha mabao 846

Lionel Messi Goal Argentina National Team World Cup Qualifier 696x458 Messi afunga Hatrick ya 1o Timu ya Taifa, afikisha mabao 846

Wed, 16 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi akiichezea timu yake ya Taifa jana alifunga hat-trick yake ya 10 huku akiwaachia majonzi Bolivia kwa kipigo cha mabao 6-0 kwenye mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA

Messi sasa anakuwa sawa na Cristiano Ronaldo kwa kuwa na hat-trick nyingi za kimataifa katika soka, Ronaldo nae ana hat-trick 10

Sasa nyota huyo wa Inter Miami amefikisha jumla ya mabao 846 katika maisha yake ya soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live