Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Djuma shaban aigomea Yanga, ataka alipwe

Djuma Shaban TP Mazembe.jpeg Djuma Shaban

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kulia wa klabu ya Yanga SC, Shabani Djuma mwenye umri wa miaka 30 amekataa kutolewa kwa mkopo kwenda klabu ya TP Mazembe ya kwao DR Congo.

Beki wa kulia wa klabu ya Yanga SC, Shabani Djuma mwenye umri wa miaka 30 amekataa kutolewa kwa mkopo kwenda klabu ya TP Mazembe ya kwao DR Congo. Beki huyo hayupo kwenye mipango ya klabu ya Yanga kwa msimu ujao (2023/24) ameiomba klabu hiyo kuvunja mkataba wake wa mwaka mmoja uliobaki kwa kumlipa fidia ya dola 65,000 (zaidi ya milioni 155 za Kitanzania) na sio kutolewa kwa Mkopo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: