Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Djuma Shaban atambulishwa Namungo FC

Djuma Shaban Namungo Djuma Shaban

Sat, 27 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa zamani wa Yanga Sc, Djuma Shaban (31) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amejiunga na ‘Wauaji wa Kusini’ Namungo Fc kwa uhamisho huru.

Beki wa zamani wa Yanga Sc, Djuma Shaban (31) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amejiunga na ‘Wauaji wa Kusini’ Namungo Fc kwa uhamisho huru. Djuma Shaban alikuwa akitajwa kuwa katika mazungumzo na Klabu ya Coastal Union kutoka Jijini Tanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live