Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ally Kamwe: Mnara utasoma 5G kwa Ahly Jumamosi

Ally Kamwe Yoyote Aje Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wakijiandaa na mchezo wa pili hatua ya Makundi dhidi ya Bingwa mtetezi Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa.

Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe anasema mchezo wa Jumamosi hautakuwa na utani hata chembe kwao na hasa baada ya kupoteza alama tatu ugenini mbele ya CR Beloiuzdad

"Unajua Yanga SC inapodhamiria jambo ikaenda na nguvu moja na matokeo yake ndio mnara unasoma kwa hiyo tunapoenda Jumamosi Yanga SC tukiwa na lugha moja tunataka ushindi mbele ya Al Ahly na utapatikana inshallah, tutaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa."- amesema Afisa Habari wa Yanga SC,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: