Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto aadaiwa kubakwa hadi kufa Mbagala

Crime Scene 45.jpeg Mtoto aadaiwa kubakwa hadi kufa Mbagala

Wed, 14 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo.

Endelea kufuatilia vipindi vyetu ikiwemo Alasiri Lounge na Azam News kwa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live