Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moto wateketeza Maduka Chalinze (+Video)

Moto Msamvu  At 14.jpeg Moto wateketeza Maduka Chalinze

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maduka ya watengeneza samani (furnitures) ikiwemo masofa na vitanda yameteketea Kwa moto asubuhi ya leo Aug 02,2024 katika eneo la Kata ya Bwilingu, Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.

Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema hawafahamu chanzo cha moto huo ambao umeunguaza ofisi zao ambapo tayari Jeshi la Polisi limeshafika eneo la tukio na kuimalisha usalama wa Wananchi.

Tazama Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by millardayo (@millardayo)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live