Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchina afariki kwa ajali ya gari Serengeti - VIDEO

Video Archive
Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtalii mmoja raia wa China amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea kwenye hifadhi ya Serengeti.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), watalii wengine sita raia wa China wamejeruhiwa na wanaendelea kupatiwa matibabu.

Shirika hili limesema bado linaendelea na uchunguzi wa ajali ya hiyo iliyohusisha gari la waongoza watalii namba T603 DCL mali ya kampuni ya Yonda Africa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live