Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msigwa kuukatia Rufaa ushindi wa Sugu

Sugu X Msigwaaaaaaaaaa Msigwa kuukatia Rufaa ushindi wa Sugu

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mgombea wa kanda ya Nyasa ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa katika chama hicho, akidai ushindi alioupata Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ haukuwa halali na kulikuwa na mbinu chafu dhidi yake.

Aliyekuwa mgombea wa kanda ya Nyasa ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa katika chama hicho, akidai ushindi alioupata Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ haukuwa halali na kulikuwa na mbinu chafu dhidi yake. Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa habari zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live