Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dkt. Tulia kugombea kiti cha Urais wa Uspika wa Bunge la Dunia IPU

Tulia Sfrs Dkt. Tulia kugombea kiti cha Urais wa Uspika wa Bunge la Dunia IPU

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imeelezwa kwamba Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dr.Tulia Ackson ameonyesha nia ya kugombea kiti cha Urais wa Uspika wa Bunge la Dunia IPU.

Akizungumza katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam, mbunge wa Singida Mashariki, Elibariki Kingu amesema;

“Safari hii ni zamu ya Afrika, urais huo wa bunge la Dunia inakuwa ni mzunguko kila bara linapewa nafasi ya kuongoza kwa miaka mitatu hivi sasa hivi tunavyozungumza Rais aliyepo madarakani anatokea Ureno na muda wake unaelekea kuishal.

"Nafasi hii ni muhimu kwa nchi kwa sababu Rais wa Bunge la Dunia anakuwa na mfano mkubwa sana katika taasisi zile za dunia kwa maana UN na mashirika mbalimbali ya kidunia.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: