Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Peter Msigwa atimkia CCM, apokelewa na Samia

Msigwa 008 Peter Msigwa atimkia CCM, apokelewa na Samia

Sun, 30 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA) Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Juni 30 wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho iliyokutana Jijini Dar es Salaam.

Mchungaji Msigwa ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, wakati akiingia WANEC wamempa heshima Mchungaji Msigwa kwa kumuimbia wimbo wa "Mlete Msigwa, Mlete Msigwa".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live