Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Wachezaji wagoma kuvaa jezi kisa zinahamasisha ushoga

Manlyjersey1 Wachezaji wagoma kuvaa jezi kisa zinahamasisha ushoga

Wed, 27 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji saba wa timu ya taifa ya Rugby ya nchini Australia wameamua kugomea mechi muhimu kutokana na timu yao kuamua timu ivae jezi zinazohamasisha mahusiano ya jinsia moja.

Wachezaji hao wamesema kuwa hawakuulizwa maoni yao juu ya jezi hizo ambazo ziko kinyume na maadili yao ya kidini na kitamaduni.

Klabu hiyo imeomba msamaha kwa suala hilo huku kocha akikiri kuwa uongozi wa klabu umefanya "kosa kubwa".

Kwa sheria za ligi wachezaji wa timu moja hawawezi kuvaa jezi tofauti hivyo ufumbuzi unahitajika kabla ya mechi hiyo ambayo imepangwa kuchezwa Alhamisi wiki hii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live