Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Usaid Bolt asajili hakimiliki ya staili yake

Usaid Bolt Jk.jfif Usain Bolt

Mon, 29 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miongoni mwa habari kubwa za wiki hii kwenye tasnia ya michezo Ulimwenguni ni ile inayomhusu mwanariadha maarufu kutoka Jamaica, Usain Bolt anayetajwa kuwa Binadamu mwenye kasi zaidi katika historia, ametuma maombi ya kupata hakimiliki ya pozi lake ambalo amekua akilionesha kila anaposhinda.

Usain aliwasilisha maombi yake hayo katika Ofisi za alama ya Biashara nchini Marekani (the U.S. Patent and Trademark Office).

Bolt anapanga kutumia picha hiyo kama nembo kwenye bidhaa zitakazojumuisha nguo, miwani ya jua, vito vya thamani, mifuko, migahawa na pia katika duka atakalofungua kwaajili ya kuuza bidhaa hizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live