Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Simbu anyakua medali ya fedha, akamata nafasi ya pili (+Video)

Alphonce Simbu Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu

Sat, 30 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu ameshinda medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili (2:12:29) kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayoendelea nchini Uingereza.

Mshindi wa kwanza (2:10:55) ni raia wa Uganda, Victor Kiplagat alienyakua medhali ya dhahabu.

Tazama Video hapa chini Simbu akimaliza mbio hizo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live