Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Riadha yawabana wenye hali ya jinsia tofauti

Running Be Riadha yawabana wenye hali ya jinsia tofauti

Mon, 27 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chombo kinachosimamia riadha Duniani World Athletics kimefikia uamuzi wa kuwatenga watu walio na hali ya jinsia tofauti (transgender women) kushiriki katika shughuli ama mashindano ya wanawake.

Mnamo Januari mwaka huu Shirikisho la Riadha Duniani, iliwasiliana na mashirikisho ambayo ni Wanachama wake ili kuandaa pendekezo la kufanya mabadiliko haya.

Rais wa Shirikisho hilo la Riadha, Lord Coe amesema kuwa uamuzi huo umechukuliwa ili kulinda kipengele cha wanawake kwenye riadha na yote hii imefanywa kwa ajili ya maslahi ya riadha. Uamuzi huo utaanza kutumika kuanzia Machi 31.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live