Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Omanyala ashinda dhahabu Jumuiya ya Madola

FERDINAND OMANYALA Ferdinand Omanyala mwanariadha wa Kenya- mbio fupi za mita mia moja.

Thu, 4 Aug 2022 Chanzo: eatv.tv

Mwanariadha wa Kenya wa mbio fupi za mita mia moja Ferdinand Omanyala ameushangaza ulimwengu baada ya kuibuka mshindi na kutwaa medali ya dhahabu katika michezo ya nchi za Jumuiya ya Madola inayoendelea mjini Birmingham nchini Uingereza.

Mwanariadha wa Kenya wa mbio fupi za mita mia moja Ferdinand Omanyala ameushangaza ulimwengu baada ya kuibuka mshindi na kutwaa medali ya dhahabu katika michezo ya nchi za Jumuiya ya Madola inayoendelea mjini Birmingham nchini Uingereza. Omanyala alimaliza mbio hizo kwa kumia muda wa sekunde kumi na nukta mbili na kuipatia Kenya medali ya kwanza ya dhahabu katika michuano hiyo baada ya kumshinda bingwa mtetezi wa mbio hizo Akani Simbine kutoka Afrika Kusini aliyemaliza katika nafasi ya pili.

Chanzo: eatv.tv