Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Maajabu! Jamaa avuta treni kwa meno

TRENI MENO ER Jamaa avuta treni kwa meno

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rathakrishnan Velu maarufu kama ‘King Tooth’, kutoka Malaysia, anajulikana kuwa na meno ya ajabu yenye nguvu zaidi.

Velu Rathakrishnan alitumia meno yake kuvuta treni mbili za abiria za KTM, zenye jumla ya uzito wa tani 260.8, umbali wa mita 4.2 kwenye Kituo cha Reli cha Kuala Lumpur, Malaysia.

Oktoba 18, 2003, Velu aliandikwa katika kitabu cha rekodi za dunia Guinness kama binadamu pekee aliyevuta treni nzito kwa kutumia meno.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live