Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Kevin Durant mchezaji Bora Duru ya wiki ya 7 NBA

Kevin Durant Kevin Durant

Tue, 6 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji mahiri wa mpira wa Kikapu nchini Marekani Kevin Durant wa @BrooklynNets amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki ya 7 kwenye @NBA kanda ya Mashariki baada mkali huyo kuwa na wastani wa juu kwa kufunga alama 33.0, rebaundi 7.0 na kutoa asisti 5.5 na kuiongoza Timu yake ya Nets kushinda michezo 3 na kupoteza mmoja tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live