Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Kauli ya kwanza ya Simbu baada ya Kukakamata nafasi ya pili (+Video)

Simbu Leo Common Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu

Sat, 30 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kukamata nafasi ya pili katika mbio za Jumuia ya Madola Jijini Birmigham asubuhi ya leo Julai 30 nyuma ya Mganda Victor Kiplangat, Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Simbu ameelezea hisia zake katika ushindi huo.

kwa kukamata nafasi ya pili Simbu amenyakua medali ya Silver huku akisema ni hatua kubwa kwa Taifa.

Msikilize Simbu hapa chini akizungumza;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live