Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

CEO wa WWE afunguliwa kesi ya biashara ya ngono

CEO Wa WWE Afunguliwa Kesi Ya Biashara Ya Ngono CEO wa WWE afunguliwa kesi ya biashara ya ngono

Fri, 26 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kulingana na NBC News, Mfanyakazi wa zamani wa Mieleka alifungua kesi siku ya Alhamisi dhidi ya kampuni ya WWE, mwanzilishi wake Vince Mc Mahon na afisa mkuu wa zamani wa WWE akiwashutumu wanaume hao kwa biashara ya ngono na unyanyasaji.

Janel Grant, mfanyakazi wa zamani wa WWE, alisema katika kesi hiyo kuwa alikuwa mwathirika wa unyanyasaji wa kimwili na wa kihisia, unyanyasaji wa kijinsia na usafirishaji katika WWE.

Kesi hiyo iliwasilishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Marekani kwa Wilaya ya Connecticut.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live