Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Various Sports

Audi kujiunga na Langa Langa 2026

Langa Langa Audi kujiunga na Langa Langa 2026

Fri, 26 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Magari ya Audi itajiunga na mchezo wa kukimbiza magari Langa Langa (Formula One) kuanzia mwaka 2026.

Kampuni ya Magari ya Audi itajiunga na mchezo wa kukimbiza magari Langa Langa (Formula One) kuanzia mwaka 2026. Kampuni hiyo ya Magari kutoka Ujerumani bado haijathibitisha kama itakuwa na timu yake au watakuwa wasambazaji wa Injini za magari. Inatarajiwa mwisho wa mwaka huu watatangaza watajiunga na timu gani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live