Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Martial Arts

Diego Costa aing’arisha Atletico Madrid, Griezmann atupia hat-trick

3869 4996C4A100000578 5433977 Image A 64 1519604476420 TZW

Sat, 3 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza, Diego Costa hapo jana aliipatia bao la kuongoza timu yake ya sasa ya Atletico Madrid katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania, La Liga kabla mshambuliaji hatari zaidi wa kikosi hicho, Antoine Griezmann hajatupia hat-trick yake ya kwanza wakati wakii maliza Sevilla wakiwa ugenini.



Atletico Madrid imefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono wa mabao 5 – 2 wakiwa ugenini dhidi ya Sevilla na hivyo kuwapatia presha vinara wa ligi hiyo Barcelona wenye alama 65.



Kikosi cha Sevilla  na mfumo wao (4-2-3-1): Sergio Rico; Jesus Navas (Layun 18), Mercado, Lenglet, Escudero; Nzonzi, Banega; Sarabia, Vazquez (Nolito 70), J. Correa (Ben Yedder 60); Muriel

Waliyokuwa benchi: Soria, Daniel Carrico, Roque Mesa, Pizarro

Magoli ya Sevilla yakifungwa na : Sarabia 85, Nolito 89

Correa 32, Escudero 68, Vazquez 70

Kikosi cha Atletico Madrid  na mfumo wao (4-4-2): Oblak; Vrsaljko, Godin, Gimenez, Felipe Luis; Saul, Gabi, Thomas (A. Correa 65), Koke (Vitolo 70); Griezmann, Diego Costa (Gameiro 75)

Waliyokuwa benchi : Moya, Juanfran, Montoro, Torres

Magoli ya Atletico yakifungwa na : Diego Costa 29, Griezmann 42, 51 pen, 81, Koke 65

Diego Costa 28, Gimenez 47 , Saul 90.

Chanzo: bongo5.com