Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTAFITI: Kulala sana Wikiendi kunakuepusha na matatizo ya moyo

Istockphoto 1002017908 612x612 UTAFITI: Kulala sana Wikiendi kunakuepusha na matatizo ya moyo

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na jarida la ‘Sleep Health’ na kurepotiwa katika tovuti ya ‘Fox News’ umeeleza kuwa kupata usingizi wa ziada siku za wikiendi kunasaidia kuzuia shida ya moyo.

Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na jarida la ‘Sleep Health’ na kurepotiwa katika tovuti ya ‘Fox News’ umeeleza kuwa kupata usingizi wa ziada siku za wikiendi kunasaidia kuzuia shida ya moyo. Utafiti huo ulifafanua kwamba watu ambao walilala kwa angalau saa moja au mbili zaidi wikendi kuliko siku za juma waliweza kupunguza hatari ya kupata magonjwa kama kiharusi, ugonjwa wa moyo, au maumivu ya kifua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live