Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruksa kwa wanaume kuingia leba kushuhudia wenza wao wakijifungua

Jk Kuzaa M Ruksa kwa wanaume kuingia leba kushuhudia wenza wao wakijifungua

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro imezindua wodi ya kisasa ya wanawake wajawazito itakayotoa fursa kwa mwanaume kuingia wodini wakati mke wake akiwa kwenye hatua za kujifungua.

Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake hupata furaha na kupunguza machungu ya uzazi wanapowaona wenzi wao karibu wakati wa kujifungua.

Unafikiri suala hili linaukweli kiasi gani na je kwa tamaduni na mila zilizopo litasaidia kuleta faraja na furaha kwa wenza au nini kifanyike kujumuisha wanaume kwa urahisi katika hatua hiyo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live