Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asilimia 12 ya Watanzania wana pumu

Mwanamke Apumua Saa Tatu Baada Ya Kutangazwa Kafariki Asilimia 12 ya Watanzania wana pumu

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zaidi ya Watanzania 7,200,000, sawa na asilimia 12, wanaugua ugonjwa wa pumu unaoathiri mfumo wa upumuaji, huku wengi wao wakiwa ni watoto walio chini ya umri wa miaka 16, Wizara ya Afya imebainisha.

Pumu unakuwa ugonjwa wa pili kuwaathiri zaidi Watanzania baada ya shinikizo la juu la damu linaloathiri asilimia 26 ya watu wazima.

Akizungumza Februari mwaka huu, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema pumu ni miongoni mwa magonjwa ya mfumo wa upumuaji, ambayo kwa takwimu za mwaka 2013, maambukizi yaliongoza kuwaathiri Watanzania 4,901,844, sawa na asilimia 18.9.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live