Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Golf

Riayz wa Tanzania aibuka mshindi wa Golf akizishinda nchi 19

Screen Shot 2020 11 09 At 3.34.21 PM 660x400.png Riayz wa Tanzania aibuka mshindi wa Golf akizishinda nchi 19

Mon, 9 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Aaalaa Riayz Somji mwenye umri  wa miaka 17 ameibuka mshindi wa jumla katika mashindano ya Diplomatic Golf awamu ya pili yaliyofanyika katika viwanja vya Kilimanjaro golf club jijini Arusha.

Mashindano  hayo yaliyoandaliwa na taasisi ya Songea Mississippi Foundation (SOMI) yenye lengo la kusaidia watoto wenye mazingira magumu katika wilaya ya Songea.

Katika mashindano Hayo Aaalaa Riayz Somji amewashinda washiriki wengine zaidi ya Mia moja kutoka nchi 19 tofauti.

VIDEO: SHABIKI WA YANGA HAAMINI KILICHOTOKEA, ONYANGO KAIFUNGIAJE SIMBA

Chanzo: millardayo.com