Kijamii

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Lifestyle

SIL

MenuKijamiiMaoni
Articles

Hivi ndivyo mastaa wa Bongo na wa nje walivyosherehekea siku ya mama duniani (+picha)

7885 4409b0eba1c781b92ffc72b331c0dc4d TZW

Sun, 13 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Leo Mei 13, 2018 ni siku ya MAMA DUNIANI ambapo watu maarufu hapa Tanzania na nje ya Tanzania wametuma ujumbe mbalimbali kuwashukuru mama zao hiyo yote ni katika kuadhimisha siku hiyo muhimu zaidi.

Tokeo la picha la mothers day

Hawa ni baadhi ya mastaa na watu maarufu kutoka Tanzania na nje ya Bongo ambao wametumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kusherekea katika siku hii muhimu.

Mama Wa Mwanangu @jaydanvanny Happy Mother’s Day @fahyvanny

A post shared by Raymond (@rayvanny) on

Happy Mother’s Day Queen Mother. #PachaWangu

A post shared by Nancy Sumari (@nancysumari) on





@therealfidq kaa ukijua nilikuwa natupia raba kali tangu miaka ya 80… Ambwene,Subi, @ms.yessayah #John & @syessayah #family #RockGarden #Morogoro #1988 #tb

A post shared by A.Y THE BUTCHER (@aytanzania) on



I LOVE U MAMA ……MAMA WW NI MWANAMKE WA MAISHA YANGU….. ENDELEA KUPUMZIKA KWA AMANI

Columnist: bongo5.com