Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu aahidi kumnunulia gari Anjella

Zuchu Aahidi Kumnunulia Gari Anjella.png Zuchu aahidi kumnunulia gari Anjella

Thu, 22 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Malkia wa WCB Zuhura Othuman 'Zuchu' ameahidi kumnunulia gari msanii Anjella.

Akizungumza na Diva the bawse kupitia Lavidavi ya Wasafi FM, Zuchu ametoa ahadi na kusema leo (22 / 08 / 2024) atamnunulia Anjella gari aina ya Crown kwani Anjella ni kama dada yake na hakuna anayeijua kesho.

"Huwenda siku moja naye atamsaidia," alisema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live