Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zari amuomba radhi mumewe "Nilikosea sana"

Zari Shakib Zari amuomba radhi mumewe "Nilikosea sana"

Tue, 3 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manyabiashara wa Uganda, Zari Hassan amemuomba msamaha hadharani mumewe, Shakib, baada ya kumsema vibaya hivi majuzi kwenye mitandao ya kijamii.

Mama huyo wa watoto watano anayeishi Afrika Kusini amesafiri hadi Uganda kurudiana na mumewe na kurekebisha uhusiano wao huku akijitetea kwamba alipokuwa "anamchamba" mumewe alikuwa amechanganyikiwa na mambo mengi ya kibiashara.

Hapo awali Zari alimshutumu Shakib kwa kutokujiamini, baada ya Zari kukutana na baba mtoto wake Diamond Platnumz, huku akidai kwamba haleti chochote mezani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live