Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wizkid na Justin Bieber walivyotumbuiza jukwaa moja kwa mara ya kwanza (video+)

Video Archive
Mon, 6 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za mkali kutokea Nigeria, Wizkid ambae time hii amechukua vichwa vya habari baada ya kutumbuiza jukwaa moja na Justin Bieber kwenye tamasha la Made In America.

NI Headlines za mkali kutokea Nigeria, Wizkid ambae time hii amechukua vichwa vya habari baada ya kutumbuiza jukwaa moja na Justin Bieber kwenye tamasha la Made In America. Tamasha hilo lilifanyika wikiendi iliyopita katika mjini Philadelphia nchini Marekani, wakali hao wawili waliimba kwa mara ya kwanza wimbo uitwao “Essence Remix”.

Chanzo: millardayo.com