Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Watu Milioni 17.7 wanatumia bangi

 Methode Times Prod Web Bin 160e38b4 Bb1d 11e7 B7b5 90f864fcf112 Watu Milioni 17.7 wanatumia bangi

Sat, 25 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Jonathan Caulkins kutoka Chuo Kikuu cha Carnegie Mellon, umebaini kuwa matuminzi ya bangi yameongezeka nchini Marekani yakipiku matuminzi ya unywaji wa pombe.

Utafiti huo ulibaini kuwa watu milioni 17.7 wameripotiwa kutumia bangi kila siku huku watu milioni 14.7 wakitajwa kutumia pombe kila siku za maisha yao.

Mabadiliko hayo yanaonesha ongezeko kubwa la matumizi ya bangi kwa mara 15 tangu mwaka 1992 huku ikiripotiwa kuwa kwa siku zijazo idadi hiyo inakadiriwa kuongezeka zaidi ya sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live