Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Wasanii wakubwa wamenizidi majina tu" - D Voice (+Video)

Video Archive
Thu, 6 Oct 2022 Chanzo: eatv.tv

Msanii wa singeli D Voive Ginnii amewachana wasanii wakubwa wa mziki huo kwa kusema wanamzidi majina tu na hawaelewi wanaimba nini.

Msanii wa singeli D Voive Ginnii amewachana wasanii wakubwa wa mziki huo kwa kusema wanamzidi majina tu na hawaelewi wanaimba nini. D Voice ametoa kauli hiyo baada ya wakongwe wa mziki wa singeli ku-diss wasanii wa sasa kwamba wanavunja misingi halisi ya mziki huo kwa mfano mwanaume kuimba kama mwanamke. 

Chanzo: eatv.tv