Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanawake watafanya sana mapenzi na Roboti 2025

CmMkJkBWIAAQ9zn Wanawake watafanya sana mapenzi na Roboti 2025

Wed, 16 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika utafiti uliochapishwa na gazeti la The Sun mwezi Juni mwaka 2016, ilielezwa kwamba hadi kufikia mwaka 2025, Wanawake hawatakuwa na hamu tena na wanaume kitandani na wataanza kufanya sana mapenzi na roboti kuliko kushiriki tendo hilo na wanaume.

Katika utafiti uliochapishwa na gazeti la The Sun mwezi Juni mwaka 2016, ilielezwa kwamba hadi kufikia mwaka 2025, Wanawake hawatakuwa na hamu tena na wanaume kitandani na wataanza kufanya sana mapenzi na roboti kuliko kushiriki tendo hilo na wanaume. Utafiti huo ulifanywa na Dr Ian Pearson ambaye ni mtaalam wa masuala ya utabiri na mambo ya baadaye (futurologist) na alieleza kwamba kutokana na ongezeko la wanawake kutumia midoli kujistarehesha, basi mwaka 2025 kustarehe na roboti itakuwa sio jambo la kustaajabisha na kufikia mwaka 2050 binadamu watakuwa wakistarehe zaidi na mashine kuliko binadamu wenzao kutokana na kukua kwa teknolojia ya akili mnemba (Artificial Intelligence) na mashine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live