Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Wanandoa wanaopishana miaka 37 watarajia kupata mtoto wao wa kwanza

Wanandoaaaaaaaaaa Wanandoa wanaopishana miaka 37 watarajia kupata mtoto wao wa kwanza

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Stori iliyozua minong'ono mingi kwenye mitandao ya kijamii wiki hii ni ile ya mwanamke wa miaka 63 na mume wake mwenye umri wa miaka 26 kutarajia kupata mtoto wao wa kwanza pamoja.

Cheryl McGregor na Quran McCain, kutoka Georgia, nchini Marekani, wamejikusanyia mamilioni ya wafuasi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuanika mahusiano yao hadharani.

Katika video ya hivi majuzi waliyoitupia TIKTOK, McGregor aliandika: "Hatimaye inakuwa, tunaanzisha familia yetu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live