Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Waliooa hawanishawishi kuoa" - Nay Wa Mitego

Video Archive
Thu, 4 Nov 2021 Chanzo: eatv.tv

Usitegemee kumuona rais wa kitaa Nay wa Mitego kuingia kwenye ndoa mapema kwa sababu anaona atamuumiza mwanamke atakayemuoa pia hata waliooa nao hawamshawishi kuingia kwenye ndoa.

Nay wa Mitego ameongeza kusema mpaka sasa ameshakuwa na wanawake zaidi ya 20 lakini hajaona hata mmoja wa kumuoa kwa sababu waliooa wanashea nao wanawake pamoja.

Zaidi tazama hapa kwenye video.  

Chanzo: eatv.tv