Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waka ya Diamond ft Rick Ross imevunja rekodi 2017

243 Screen Shot 2017 12 15 At 10.56.50 PM 660x400.png TZW

Fri, 15 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Muimbaji wa Bongofleva ambaye pia ni CEO wa record label ya WCB Diamond Platnumz kwa sasa anazichukua headlines katika bara la Afrika kwa wimbo wake wa Waka aliyomshirikisha rappa maarafu nchini Marekani Rick Ross kuvunja rekodi.

Wimbo huo wa Waka umevunja rekodi baada ya kuwa on trend kwenye mtandao wa youtube katika nchi saba mbalimbali za Afrika zikiwemo nchi   kama Tanzania, Kenya, Uganda, Afrika Kusini, Nigeria, Zimbambwe na Ghana.

Diamond amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuscreen shot picha ya video yake ya Waka ikiwa on trend na kuandika “fanya kazi kwa bidii, sali sana, kuwa mnyenyekevu” inatajwa kuwa huu ndio wimbo wa kwanza wa Diamond Platnumz kuwa on trend katika nchi nyingi kuliko ngoma zake zilizopita kwa mwaka 2017.

Ulipitwa na hii ya Mama Diamond kafunguka ni kuhusu Diamond na Zari????

 

 

 

 

 

 

 

 

Chanzo: millardayo.com