Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Sipati kazi kumuuza Diamond kimataifa – Promota wa show za Diamond UK

Video Archive
Sat, 17 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Promota wa show za Diamond wa nchini Uingereza, Dullah amefunguka kwa kusema kuwa rais huyo wa WCB ni kati ya wasanii wachache ambao wanatambua kitu ambacho wanakifanya katika muziki. Alisema yeye amekuwa akiandaa show nyingi kubwa za muimbaji huyo huku akidai ni rahisi kwa wafanyabishara kUwekeza kwa Diamond kuliko kwa wasanii wengine.

Chanzo: bongo5.com