Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Nyimbo za Diamond na Alikiba zinapigwa sana Nigeria – Omoakin

Video Archive
Fri, 9 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Omoakin amefunguka kwa kusema kwamba ngoma za Alikiba, Diamond pamoja na Vanessa Mdee zinapigwa sana nchini humo. Muimbaji huyo yupo nchini Tanzania kwaajili ya media tour pamoja na kusambaza kazi zake mpya.

Chanzo: bongo5.com