Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Msanii wa Bongo atajwa kuandika mashairi ya ‘kiswahili’ ya Patoranking

Video Archive
Fri, 13 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Patoranking ameweka wazi juu ya mwandishi wa mashairi yake kwa lugha ya kiswahili ambaye ni msaii wa muziki Bongo aitwaye Walid, msanii huyo yupo chini ya lebo ya Patoranking iitwayo Amari Music.

Chanzo: bongo5.com